channel logo dark
Broken Pieces SP Billboard
channel logo dark

Broken Pieces

160TelenovelaPG13

muhula

Broken Pieces Poster

Kwa undani zaidi

Broken Pieces ni tamthilia ya kusisimua inayosimulia maisha ya familia mbili zilizounganishwa na makosa ya hospitali — watoto kubadilishwa bila kujua. Miaka 15 baadaye, ukweli unapoibuka, unaleta mgawanyiko mkubwa kati ya wazazi, watoto, na maisha yao. 

S1 | E232
17 Agosti 19:00
'S1/E232 of 283'. Watoto wanabadilishwa hospitalini kimakosa, Miaka 15 baadae, siri kubwa inafichuka na maisha yao kubad...

Vipindi Zaidi