Mke wa Tony anakimbizwa hosipitali, madaktari wanasema amepoteza ujauzito wake, hizi taarifa zinakua ngumu sana kwa Tony.