maisha magic bongo logo

Kamishna Apata Ushahidi Dhidi ya Zulu Brothers – The Wife

Video20 Oktoba

Mambo yanazidi kupamba moto! Kamishna anapata ushahidi unaowahusisha Zulu Brothers na tukio la kumtorosha mfungwa jela Wakati huo huo, Mqhele na mkewe Mahlomu wanafanya tambiko zito kutuliza mizimu ya familia Je, tambiko hili litazaa amani au kuzua maafa mapya?