Wa Milele ni reality show ya kipekee inayochunguza safari ya mapenzi ya wanandoa na wachumba wanaopitia changamoto, mitihani na furaha ya maisha ya pamoja.
Kupitia majaribu ya kila siku, watalazimika kuthibitisha kama upendo wao unaweza kweli kudumu milele.