Mambo yanazidi kupamba moto kwenye familia ya Nguzu! Mwanida na Kojack wanatupiana maneno mazito hadharani. Kojack anamuita Mwanida mwizi wa mtoto – kauli inayotikisa nyumba nzima! Je, hii ni vita ya maneno tu au kuna ukweli unaofichwa nyuma yake