Mudrick anaumwa ghafla, hali inayolazimu familia yake kumkimbiza kwa Bi Ajue usiku kwa ajili ya mafusho ya jadi.
Wakati huohuo, Mpunje nae hali imezidi kuwa tete, amwakumwangukia Bi Barke akiomba apewe kazi… lakini je, nini kipo nyuma ya kazi hii?
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ