channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Abby aibiwa simu uswahili I Huba I Season 14 I Maisha Magic Bongo

Video15 Mei

Abby aliamua kwenda mtaani – lakini mambo hayakwenda kama alivyotarajia! Akiwa anazunguka mitaa ya uswahilini, anavamiwa ghafla na kuibiwa simu yake. Je, tukio hili litabadilisha mtazamo wake kuhusu maisha halisi ya mtaani? — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ