Mwili Wapotea Kabla ya Mazishi – HubaMazishi yanageuka sintofahamu kubwa pale mwili unapopotea ghafla
Familia inazidi kuchanganyikiwa — nani amechukua mwili? Na kwa nini?
Kila mmoja anaonekana kuwa na siri yake, na badala ya kupata utulivu wa mazishi… drama inawaka upya .
Huba haikosi mishtuko — kila tukio linazua maswali mapya!