Logo
Kovu SP BB
channel logo

Kovu

158Telenovela13

Tecno Own the Stage on MMBongo!

News
03 February 2016
Kipindi hiki kinawaletea Majaji maarufu kama Bien Aime wa Sauti Sol, Yemi Alade wa Nigeria na A.Y wa Tanzania! Tazama yalioko saa 19:30 EAT leo usiku.
TheTurnUpEp1

Kipindi cha Mashindano ya uibaji wa karaoke iliona wagombea kutoka Nigeria, Kenya na Tanzania. Kipindi hiki kinawaletea Majaji maarufu kama Bien Aime wa Sauti Sol, Yemi Alade wa Nigeria na A.Y wa Tanzania! Tazama yalioko saa 19:30 EAT leo usiku.

http://on.fb.me/1VKSJyZ

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.