Logo
Kovu SP BB
channel logo

Kovu

158Telenovela13

TeamDiamond Yasimamisha Mziki wa Afrika Mashariki Imara! Afrimma2015

News
12 October 2015
Anajulikana kwa wengine kama "Mr. HatTrick" kwa ubora wake katika mziki na Usanii, Diamond Platnumz alijishinidia Nyara za AFRIMMA2015!
diamondafrimma3

 Anajulikana kwa wengine kama "Mr. HatTrick" kwa ubora wake katika uandishi wa mziki na Usanii, Diamond Platnumz alijishinidia Tuzo za Best Dance Video, East African Artist of the Year na African Artist of the Year katika Annual African Muzik Awards Afrimma2015 jumamosi iliyopita mjini wa Dallas, Texas nchini Amerika.Diamond alimshukuru Mungu kwa kubariki kazi yake na "Kuupa Thamani Mziki wetu wa Afrika Mashariki." Huyu msanii aliyenyenyekea mbele ya Mungu anazidi kupaa katika mziki duniani. Amepewa nominesheni nyingine katika MTV European Music Awards 2015.

Tunamwombea Diamond Platnumz na wasanii wote walio katika Wasafi Records kila la heri! Hongera Diamond!

Ungana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.