Logo
Kovu SP BB
channel logo

Kovu

158Telenovela13

Tamthilia ya mfululizo, Sakata la Ndoa!

News
29 March 2016
Ungana nasi kila Jumatatu hadi Jumatano, saa 19:30 EAT hapa Maisha Magic Bongo!
Sakata La Ndoa1

SAKATA LA NDOA
SAA 19:30 EAT
JUMATATU - JUMATANO
Mola alichounganisha, hakuna atakaye tenganisha! Tamthilia ya njia panda za Ndoa! Hadithi ya kitamaduni ambapo wanaigiza masaibu ya kifamilia. Tamthilia hii inatusimulia hadithi ya kutafuta riziki, undugu, ndoa na Mitala! Ungana nasi kila Jumatatu hadi Jumatano, saa 19:30 EAT hapa Maisha Magic Bongo!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.