CRAZY LOVE
2 DESEMBA 2015
SAA TATU UNUSU USIKU
Nelson na Veronica wanapendana sana. Siku yake ya Birthday, Nelson anamposa Veronica ili wafunge ndoa na, kwa furaha, Veronica anakubali! masaibu yanawangoja mbele kwa sababu Mamake Nelson hampendi Veronica kisha, anajitahidi sana kufuja penzi lao!
LOST TWINS
3 DESEMBA 2015
SAA MBILI UNUSU USIKU
Mapacha wanatenganishwa wakizaliwa! Mmoja anapewa familia ya kifahiri waliona mali, na huyu mwingine anapata kukaa na wazazi wao. Kwa hatma na mapenzi yake Mola, Mapacha hawa, pamoja na wazazi wao wanapatana tena!
ANGEL
4 DESEMBA 2015
SAA MBILI UNUSU USIKU.
Wakati Abe anatoka gerezani, hakuna anayetaka kuhusiana naye. Maisha yaabadilika akipatana na binti aiitwaye Sonal.Katika maisha yao, kuna shida na pilka pilka nyingi lakini urafiki wao ni wa kudumu!
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.