HIGH HEELS
IJUMAA
SAA 19:00 EAT
Kabeya anawasili nyumbani na kukuta mke wake amepoteza fahamu na kutembea kama Mwendawazimu katika uwanja wa Ndege. Koko anamlaumu Rama kwa kukosa kuboresha ndoa yake lakini Rama anamatumaini ya kumpata Koko mwishowe, kwani yeye ndiye mpenzi wake wa milele.
ANGEL
IJUMAA
SAA 19:00 EAT
Filamu za Mapenzi na masaibu ya maisha hapa MMBongo jioni ya leo! Usibanduke!
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.