Logo
Kovu SP BB
channel logo

Kovu

158Telenovela13

MMBongo yawaletea Mzooka!

News
23 October 2015
Mchanganyiko maalum wa muziki wa Bongo na Afrika Mashariki unaoleta burudiko kamili haswa ukiangazia talanta ya baadhi ya wasanii wanaochipuka na wanaobobea.
bongoCoverTwitterOct19

MMBongo yawaletea Mzooka! Tazama mziki wetu leo saa 21:00 usiku, katika DSTV chaneli 160.

Mchanganyiko maalum wa muziki wa Bongo na Afrika Mashariki unaoleta burudiko kamili haswa ukiangazia talanta ya baadhi ya wasanii wanaochipuka na wanaobobea.

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.