Logo
Kovu SP BB
channel logo

Kovu

158Telenovela13

Mapito katika MMBongo

News
24 November 2015
Ni kipindi kigumu sana kwa binadamu katika mapito haya ya dunia.
MapitoBongo Oct21

MAPITO

SAA KUMI NA MBILI UNUSU JIONI

Ni kipindi kigumu sana kwa mwanadamu katika mapito haya ya dunia, tunasahau kumcha mungu na kuingia katika vitendo ambavyo mwisho wake huwa majuto. Ni vitendo gani tunavyofanya ambazo ni haramu katika kipindi hiki cha mapito?

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.