Logo
Kovu SP BB
channel logo

Kovu

158Telenovela13

Filamu ya Jumatano, COLLEGE CAMPUS!

News
12 April 2016
Inabidi waungane kuokoa shule yao! Ungana nasi, Jumatano, saa 19:00 EAT, hapa MMBongo!
College Campus

COLLEGE CAMPUS
JUMATANO
19:00 EATWanafunzi wa chuo cha Apoorya wametengana wao kwa wenyewe kwa ajili ya ukoo wao tofauti. Wanazozoana mpaka wana habari wanatangaza kufungwa kwa chuo. Inabidi waungane kuokoa shule yao! Ungana nasi, Jumatano, saa 19:00 EAT, hapa MMBongo!