Logo
Kovu SP BB
channel logo

Kovu

158Telenovela13

Changamoto za Idris na Wema!

News
27 May 2016
Idris Sultan na Wema Sepetu wamepitia shida na majaribio mengi, lakini wamevumilia Changamoto hizi wakiwa pamoja. Imara daima!
Idris&Wema2May27

Mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan akiwa na mpenzi wake, Wema Sepetu wamevumilia njia panda nyingi katika uhusiano wao.
Inasemekana kwamba Miezi miwili iliyopita, Idris na Wema hawa kuwa na mawasiliano kabisa. Baada ya habari hizi kusambaa , Idris alichukua hatua ya kumpamba na kudhihirisha mpenzi yake ya dhati kwa Wema kupitia mitandao ya kijamii kama Instagram.Jambo ambalo haliko wazi ni je Wema alikuwa mja mzito kweli? Idris na Wema walionekana kuwa wamefurahia sana  na kuweka swala hilo wazi, kwamba ni wazazi watarajiwa. Lakini haikua Mapenzi ya Mungu Wema aliugua na kumpoteza ujauzito wake.

Wapenzi hawa  waliamua kurudisha penzi lao katika kipindi hiki kugumu. Idris alijutia sana maamuzi yao na kusema ,” tulifanya kosa kutangaza mimba ya Wema mapema ,tamaduni  zetu haziruhusu kabisa, tulitakiwa kuweka wazi kama mimba ingekua na miezi minne hivi na kuendelea.”


Tunawatakia kila la kheri katika maisha yao.

Pata habari za walioshiriki katika shindano la Big Brother katika Ukurasa wetu wa facebook.

Like our Facebook page and follow us on Twitter, on Instagram and on WeChat: MaishaMagicEast