Logo
Kovu SP BB
channel logo

Kovu

158Telenovela13

Bongo Muvi: Kosa la Mama

News
10 November 2015
Mzee Chilo

Chama ameposwa ndoa kwake Eddie amabaye ni mkulima katika Kijiji chao. Chama na Eddie nikama chanda na pete, wanapendana sana lakini kifo cha wazazi wake kinamuhimiza kutoroka na kuenda Jiji kubwa kutfuta mafanikio.
Akiwa huko, anapatana na mwingine na kufunga ndoa! Eddie kwa huzuni anataka kurudishiwa mahari aliyomplipia Chama. Ungana nasi saa 21:25 usiku hapa Maisha Magic Bongo!