Logo
Kovu SP BB
channel logo

Kovu

158Telenovela13

Bongo movie Dereva Taxi

News
08 August 2016
Hadithi ya Danny, msamaria mwema na mpenzi wake katika kisa cha kusisimua katika filamu DEREVA TAXI saa Tatu usiku!
DerevaTaxi8AugRES

DEREVA TAXI
JUMATATU
SAA TATU USIKU




Danny ni dereva wa Taxi. Siku moja, masaa ya jioni, anapatana na binti aliyevamiwa na wahuni njiani! Danny anamsaidia mrembo huyu ambaye amepata msjeraha na kuzirai. Danny anampeleka kwake na baada ya kupona, maisha yao yanapata chanzo cha penzi! Ungana nasi LEO saa tatu usiku hapa Maisha Magic East!