Logo
Kovu SP BB
channel logo

Kovu

158Telenovela13

#MCM wa Afrika Mashariki, ALI KIBA!

News
07 March 2016
AliKibaAMVCA2016

#MCM wa wiki hii ni msanii aliyekomaa katika Industry. Mwanamuziki maarufu, AliKiba Saleh Kiba anayejulikana kama "AliKiba" au "King Kiba" aliwakaribisha na kuwatumbuiza wateule na wageni rasmi siku ya Africa Magic Viewer's Choice Awards (AMVCA) 2016 katika jiji la Lagos, nchini Nigeria!

Walioteuliwa toka Afrika mashariki walishinda tuzo katika vipengele vya:

  • Best Movie - East Africa

  • Best Indegenous Language - Swahili 

  • Best Television Series


Tazama King Kiba hapa!
Like our Facebook page an follow us on Twitter, on Instagram and on WeChat: MaishaMagicEast