Logo

Yahusu Tanzania!

News
13 November 2015
Ungana nasi saa 17:30 EAT kila Jumamosi, hapa chaneli 160, Maisha Magic Bongo!

Kipindi kinachohusu msafiri anayezuru mandhari mbali mbali ya nchi ya Tanzania akigusia sana sana mila na utamaduni wa wenyenji kama vile ngoma za kienyenji, chakula, miondoka, mavaazi tofauti tofauti, usanii na mengineo.

Pia anatembelea sehemu tofauti tofauti zinazovutia watalii nchini Tanzania huku akiwafahamisha wenyenji umuhimu wa utalii wa ndani. Ungana nasi saa 17:30 EAT kila Jumamosi, hapa chaneli 160, Maisha Magic Bongo!