Logo

Witchdoctor leo katika MMBongo!

News
10 November 2015
Anapelekwa kwa Mganga, akirudi, amebadilika! leo saa 12:00 alasiri!
witchdoctorResized


34 witch doctor 536 p cut


Scholar ameugua sana. Familia yake wanakata shauri ya kumpeleka kumwona mganga anayewahisi wamwache huko kwa siku tatu. Scholar anaporudi nyumbani, amepona kimwili lakini fikra na utu wake umebadilka! Punde si punde, wanagundua Scholar ako na Mimba! Baada ya miezi kadhaa, Scholar anaamua kuolewa na mganga kuwaondolea wazazi wake aibu ya mimba.Wake wenza wanamtesa sana.