Logo

VVU/UKIMWI Duniani. Kesho, katika Yahusu Tanzania!

News
12 April 2016
Kwa Sasa, watu millioni Sabini na nne (Millioni 74) wanaishi na maradhi ya Ukimwi kote Duniani. Patana nasi, kesho,saa 08:30 EAT hapa Maisha Magic Bongo!
Yahusu Tz

YAHUSU TANZANIA
JUMATATU - ALHAMISI
SAA 08:30 EAT

Virusi vinavyoangamiza seli zinazokinga mwili kutokana na magonjwa yaani, UKIMWI ni ugonjwa ambao umeenea na kuwadhuru watu wengi ulimwenguni. Kwa Sasa, watu millioni Sabini na nne (Millioni 74) wanaishi na Ugonjwa huu kote duniani. Sote tunatafuta suluhisho. Charles anayachambua mawazo tofauti. Swala letu, Je, Sekta ya utalii umeeneza ugonjwa wa Ukimwi?
Patana nasi, kesho,saa 08:30 EAT hapa Maisha Magic Bongo!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.