Logo

JAANEMAN, Swahindi movie ya Ijumaa!

News
22 January 2016
Je, Suhaan atakubali mkewe aolewe na Agastya ? Fuatilia mkasa huu wa kusisimua. Saa 19:30 EAT katika DStv chaneli 160!
Jaaneman1.jpg

Suhaan na Piya wanazama katika mapenzi wakiwa chuo ingawa Suhaan anafanya uhusiano wao kuwa siri ili atimize ndoto yake ya kuwa star wa movie, anaposhindwa kutimiza ndoto yake anarudi nyumbani na kukuta Piya kaondoka nyumbani.

34 jaaneman1.jpg


 

 

 

 

Agastya anakili mbele ya suhaan kuwa alimpenda sana Piya bila kujua kuwa ndio aliyekuwa mumuwe. Mpango unapangwa kuwaunganisha Piya na Agastya
Je suhaan atakubali mkewe aolewe na Agastya ?...Fuatilia mkasa huu wa kusisimua. Saa 19:30 EAT katika DStv chaneli 160!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.