Logo

Siri Sirini. Saa 19:00 EAT. MMBongo!

News
05 April 2016
Adhabu ya kaburi aiijuaye maiti! Mateso bila chuki! Tazama masaibu haya leo, saa 19:00 EAT!
siri-sirini15-Marchjpg

SIRI SIRINI
5 APRILI 2016
19:00 EAT

Sio watu wote ni watu. wengine ni viatu. Fikiri kabla hujamkaribisha katika maisha yako kwani utajuta na yeye kubaki na furaha moyoni. Adhabu ya kaburi aiijuaye maiti! Mateso bila chuki! Tazama masaibu haya leo, saa 19:00 EAT!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.