Logo

Siku Tatu Pekee! Three Days to Go! MMBongo!

News
28 September 2015
Siku Tatu Pekee! Three Days to Go! MMBongo! Tunawaletea Vipindi vya Kiwetu, utamaduni na lugha zetu za KiTanzania.
Bongo-Countdown3.jpg

Siku tatu pekee! Three Days to Go! MMBongo! Tunawaletea Vipindi vya Kiwetu, utamaduni na lugha zetu za Tanzania. Umaarufu wa Wasanii wetu unatubembeleza na kututongoza hadi mle pangoni mwa Maisha Magic Bongo DSTv Chaneli 160 na GOTv 4.Ukifuata nyuki, Utapata Asali! Ungana nasi, mwezi huu wa Oktoba 2015. Tusherehekee Utamaduni wetu!