Logo

Siku Moja tu! MMBongo anapiga hodi!

News
30 September 2015
Bongo-Countdown1-day.jpg

Tanzania, Mumengoja kwa subra na utulivu. Sasa, Maisha Magic Bongo ameshafika mlangoni, yuapiga hodi! Kesho, tarehe 1 Oktoba 2015, saa kumi alasiri, chaneli hii mpya ya MMBongo itapeperusha hewani  mziki, filamu, vipindi na habari zenye hadhi ya Ki Tanzania!  Wakati Huu, Msema kesho SIO mwongo!

Ungana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.