Logo

SAMEER, Alhamisi, hapa MMBongo!

News
20 April 2016
Tazama kisa hiki kesho Alhamisi, saa 15:53 EAT hapa Maisha Magic Bongo!
sameer 2

SAMEER
ALHAMISI
SAA 15:53 EAT


34 sameer 2


Sameer ni Imam aliyemwaminifu kwa dini yake. Kwa bahati mbaya, anaungana na marafiki wasiotii maanani ya kidini na tabia yake inabadilika. Anatupilia mbali kanuni za dini,ni hii ndio ilikuwa chanzo cha anguko la maisha yake. Kifo chake ni funzo kwa wengine. Tazama kisa hiki kesho Alhamisi, saa 15:53 EAT hapa Maisha Magic Bongo!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.