Logo

Pata kujua walioteuliwa katika AMVCA 2016!

News
03 March 2016
AMVCA 2016 RED CARPET EVENT saa 18:00 EAT na MAIN AWARDS CEREMONY saa 21:00 EAT. Ungana nasi!
AMVCA-maisha.jpg

Kura zimepigwa na ukusanyaji umekamilika! Sasa, hatuna budi ila kungonjea kwa hamu na gamu kuwaona washindi wa Afrika katika sherehe za AMVCA Awards 2016, tarehe 5 Machi 2016,  zitakazokuwa katika Mji wa Lagos, Nigeria!

Sherehe ya AMVCA Awards ni za kifahari kote Afrika! Wasanii, wazalishaji, waigizaji na wakurugenzi wa filamu na vipindi vya tamthilia katika Bara la Afrika wanakusanyika kuwapa pongenzi waliofanikiwa kuwa washindi!

Familia ya Maisha Magic yawaletea walioteuliwa kutoka Afrika mashariki!
BEST TELEVISION SERIES  
Jane and Abel Dorothy Ghettuba
How to find a Husband Erica Sugo Anyadike
Santalal Gerald Langiri
Officer Titus Olabisi Jinadu
Daddy's Girls Ariyike Oladipo

BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES - SWAHILI  
NYUMBA 10 Damaris Irungu-Ochieng
SAMAKI MCHANGANI Amil Shivji
FIHI Caroline Mbaturia
SUMU Neema Ndanu
KITENDAWILI Josephat Lukaza
BEST MOVIE - EAST AFRICA  
HOUSE ARREST Joseph Kenneth Ssebaggala
MAPENZI Elizabeth Michael
CALL 112 Joseph Kenneth Ssebaggala
KITENDAWILI Josephat Lukaza
MPANGO MBAYA Staford Kihore
DADDY'S WEDDING Honeymoon Aljabri

Maisha Magic East katika DSTv chaneli 158 au GOTv chaneli 4 yawaletea sherehe za AMVCA 2016 RED CARPET EVENT saa 18:00 EAT na MAIN AWARDS CEREMONY saa 21;00 EAT. Ungana nasi!