Logo

Ndoa ya Utata! Tamthilia MMBongo!

News
04 April 2016
Usikose kutazama kisa hiki leo saa 18:30 DSTV Chaneli 160! Maisha Magic Bongo, Ni Yetu!

NDOA YA UTATA
4 APRILI 2016
19:00 EAT.

Mamake Dalmas anahakikisha amevunja ndoa ya mwanawe. Dalmas anamwoa mwanamke ambaye mama yake amemchagulia aiitwaye, Sandra! Huyo kumbe ni fisi kwa ngozi ya kondoo! Anauza nyumba ya Dalmas, isitoshe, Dalmas anasimaishwa kazi! Mke wake wa zamani atamsaidia?

Usikose kutazama kisa hiki leo saa 18:30 DSTV Chaneli 160! Maisha Magic Bongo, Ni Yetu!

 

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.