Logo

Muhula Mpya wa Jikoni na Marion!

News
24 December 2015
Patana nasi, kila Alhamisi saa 1 usiku hapa DSTv Chaneli 160!
JNM22Dec

Kipindi chetu tunachokipenda, Jikoni na Marion, inarudi mwaka ujao na wageni mashuhuri! Patana nasi, kila Alhamisi saa 1 usiku hapa DSTv Chaneli 160!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.