Logo

MTARO. Filamu ya leo katika MMBongo!

News
09 November 2015
MtaroNov9

Mtaro ni tamthilia inayohusu mahusiano ya kila siku kati ya familia, wapenzi, ndugu na majirani.

Mtaro ni mfereji wa maji machafu,unabeba takataka nyingi sana za kila aina. Sisi wote tuko ndani ya Mtaro,ndani ya maji machafu, na kila siku tunajaribu kujitoa ndani ya Mtaro ili tuishi vizuri.Swali je tunajitahidije kutoka katika Mtaro huo ambao ni maisha magumu tuliyonayo, matatizo mengine yote katika maisha?Jifunze kutoka katika tamthilia hii tamu ya Mtaro. BURUDIKA.

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.