Logo

MCM: MMBongo's hottest male Celebs!

News
22 February 2016
Millard-Ayo1

Tunapofikia mwisho wa mwezi wa mapenzi, tungependa kuwatambua Vincent Ray Kigosi na Millard Ayo!

VINCENT KIGOSI

34 vincentkigosi2


Vincent Kigosi ni Muigizaji maarufu katika Afrika Mashariki aliyetuletea filamu za kusisimua kama 'Unpredictable' 'Peace of Mind' na 'Chenga za Ray Kigosi'. Kigosi aliyezaliwa mwezi wa Mei mwaka 1980 amewatumbuiza watazamaji kwa muda wa kukaribia miaka kumi na umaaarufu wake unazidi kuenea katika Afrika na ulimwengu kwa jumla!

 

MILLARD AYO

34 millard ayo1 1


Millard Ayo ni ripota mashuhuri wa redio. Ayo amefanya kazi za kuripoti katika stesheni kadhaa kama  ITC na Clouds Fm hapa Tanzania. Isitoshe, amefanya kazi kama mwana habari wa Multichoice DSTV. Milliard Ayo ako na mashabiki chungu nzima mitamboni ya intaneti na wanaomskiliza katika vipindi vya redio.

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.