Logo

Mchikicho wa Pwani!

News
28 December 2015
Kutoka Januari 2016, ungana na Bi Mariam Migambo kupata mawaidha ya manufaa hapa MMBongo! Ni Yetu!
Mchikicho26Dec

Kipindi hiki kinazungumzia elimu ya kimaumbile, utamaduni na desturi za kinyumbani na mafunzo ya wakina mama ambao ni Ngao za familia! Kutoka Januari 2016, ungana na Bi Mariam Migambo kupata mawaidha ya manufaa!