Logo

Mawaidha kuhusu mapenzi kutoka kwa Bi Komo — Pete

News
09 March 2019
Nyanyake Nuru anampa mjukuu wake mawaidha kuhusu mahaba.
No Title

Nuru sasa amechanganyikiwa. Baada ya nyanya kumpa dawa ya mapenzi, alimsahau Kalume na kumkaribia Jasiri. Jasiri nae ako na uhusiano wa karibu na Safira. Jambo hili linamtia wasi wasi na hata wakati mmoja alitaka kupigana na Safira hotelini ya Jinale.

Wakati nyayake Nuru anaona mjukuu wake ako na huzuni, anampa mashauri haya kuhusu mapenzi:

Ampendae halii, hutabasamu

1552047872 34 53792965 1038582306326854 79648330258317312 o
0

Mapenzi hayatiwi akilini, hutiwa moyoni

1552048114 34 53694092 1038582272993524 2691198289738465280 o
0

Mwanaume yeyote huchagua mwanamke aliye na maadili, ubunifu na heshima

1552047926 34 53057905 1038580249660393 3106967011075293184 o
0

Mwanamke hupigana na mapishi na mapenzi

1552048476 34 50962103 1016934345158317 3354042228912685056 o
0

Kichwa cha mwanaume ni kidogo sana - hakiwezi vita na fujo. Chataka utaratibu - ukiijaza pressure tu asha korogekau

1552047988 34 53034477 1038582512993500 7119325553487773696 o
0

Je ni misemo gani ambayo ulifurahia wiki hii? 

Usikose kutazama Pete kila Jumatatu hadi Ijumaa ndani ya DStv 158 and GOtv 4.