Logo

MAHOKAZ!

News
24 November 2015
Leo saa Tatu unusu za usiku, tazama fialamu ya Bongo maarufu, MAHOKAZ!
MAHOKAZ  3 brothers

MAHOKAZ


SAA TATU UNUSU ZA USIKU


Joh anapanga njama ya kuuza nyumba yao na kugawanya mapato na Ndugu zake. Anapowapatia habari hii, Wanakataa kata kata. Joh anafanya ujanja utakao wahimiza nduguze kukubali kuuza nyumba.


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.