Logo

Leo katika MMBongo Muvi

News
13 October 2015
Leo Katika MMBongo Muvi, tazama filamu ya kusisimua saa tatu usiku hapa DSTv chaneli 160!
hemed suleiman.jpg

Leo Katika MMBongo Muvi, tazama filamu ya kusisimua saa tatu usiku hapa DSTv chaneli 160!


NIGHT DRESS
21:00 EAT


34 hemed suleiman.resized

Hemedi anaishi maisha ya upweke na mke wake Zuhra. Anamwonea wivu rafiki yake ambaye ni tajiri. Huyu rafiki anampeleka Hemedi kwa Mganga ili naye apate Mali. Mganga anamwambia lazima alale akiwa amevaa nguo ya mwanamke pia anamhimizwa kutokuwa mwaminifu kwa mkewe na haya masaibu yanamletea shida chungu nzima!


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.