Logo

Leo katika Jikoni na Marion

News
12 November 2015
Kipindi cha maisha, mazungumzo, vyakula na kuungana na Mhudumu wa heshima, Bi Marion kila Alhamisi hapa MMBongo!
JNM12Nov2

JIKONI NA MARION
ALHAMISI
SAA 19:00 EAT


Leo katika kipindi ukipendacho cha Jikoni na Marion, Wapishi wetu ni Msanii Grace Matata na Mtayarishaji Filamu, Bw.Suleiman Mchora. Grace anatufunza kupika Wali na mchuzi wa Kuku, naye Suleiyman anatuandalia Sweet and Sour Chicken! Ungana nasii leo saa moja jioni kwa chaneli yako, DStv 160!


34 jnm12nov2Kipindi cha maisha, mazungumzo, vyakula na kuungana na Mhudumu wa heshima, Bi Marion kila Alhamisi hapa MMBongo!


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.