Logo

Kipindi cha MTARO hapa MMBongo!

News
30 November 2015
Kipindi kinachohusu panda shuka za maisha ya binadamu wa kawaida anayejitahidi kuishi maisha ya Neema!
Mtaro30Nov

MTARO
18:00 EAT


34 mtaro30nov


Mtaro ni tamthilia inayohusu mahusiano ya kila siku kati ya familia, wapenzi, ndugu na majirani. Mtaro ni mfereji wa maji machafu,unabeba takataka nyingi sana za kila aina. Sisi wote tuko ndani ya Mtaro,ndani ya maji machafu, na kila siku tunajaribu kutoka ili tuweze kuishi maisha ya neema.
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.