Logo

Kipindi cha Mtaro!

News
18 January 2016
Salome anapata onyo kali kwa ajili ya kumtesa Lucy akiwa mja mzito. Saa 19:00 EAT hapa MMBongo!
Mtaro21Dec1

MTARO
JUMATATU, 19:00 EAT


34 mtaronov9


Ndaiga anampata Maswala akimchungulia Mwasa akioga. Salome anapata onyo kali juu ya kumtesa Lucy akiwa mja mzito. Makasy naye, anataka kujau kama Maswala amesikia habari zozote kutoka Ofisi ya Tuamke.


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.