Logo

Tunawatakia Kila la Heri katika Uchaguzi Mkuu ujao!

News
23 October 2015
Tunaomba kuwa na umoja na amani katika nchi yetu ya Tanzania tukijitahidi kumchagua viongozi wa busara watakaoimarisha taifa letu!
Tanzania-Flag1

Kutoka kwetu sote katika familia ya Maisha Magic, Tunataka kuwapongeza ndugu zetu wa Tanzania juu ya uchaguzi ujao utakayofanyika siku ya Jumapili Oktoba 25, 2015 .
Tunaomba kuwa na umoja na amani katika nchi yetu tukijitahidi kumchagua viongozi wa busara watakaoimarisha taifa letu!