Logo

Jaal The Trap! Leo jioni hapa Maisha Magic Bongo!

News
12 April 2016
Fuatilia mkasa huu leo jioni saa 16:00 EAT katika DSTv Chaneli 160!
Jaalthetrap2

JAAL THE TRAP
JUMANNE
16:00 EAT


34 jaalthetrap2


Ajay anapata ajali kutokana na uzembe wa Neha Pandit, inayowasababisha wakutane tena na kuwa wapenzi. Ajay anagundua kuwa Neha ni mjane lakini anamshawishi mkwe wake awabariki. Lakini mambo yanabadilika na Ajay kujikuta katika mtego baada ya kugundua kuwa Neha ni gaidi. Fuatilia mkasa huu leo jioni saa 16:00 EAT katika DSTv Chaneli 160!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.