GAUNI LA HARUSI
18:30 EAT
Katika filamu ya leo hapa MMBongo, Dick anapoteza kazi yake na hafanikiwi kupata ingine. Anazidiwa na majukumu ya kulipia ndugu yake karo na mpenzi wake Shadia, ambaye anadai gauni mpya la harusi kwa dada mdogo wake Noni.
Dick anafanya kazi ya ajira ndogo na hatimaye anafanikiwa kumnunulia mpenzi wake mavazi hayo ya harusi lakini wakati anahudhuria harusi anatambua kwamba siye Noni anayefunga ndoa.
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.