Logo

Fitina: Filamu ya leo hapa MMBongo!

News
03 February 2016
Bwana Zunzu anamshawishi Fitina na jambo hili linahuzunisha Baba yake. Ungana nasi kutoka saa 18:00 EAT hapa Maisha Magic Bongo!
Fitina-3resized

Fitina anatongozwa na Bwana Zunzu anayetaka kumwoa. Huku kwingine, kijana aiitwaye Okela, kijana chipukizi mwenye bidii pia anataka kumwoa Fitina. Zunzu anamshawishi Fitina na jambo hili linahuzunisha Baba yake. Ungana nasi kutoka saa 18:00 EAT hapa Maisha Magic Bongo!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.