Logo

Filamu za Siku Kuu! MMBongo Movies!

News
15 December 2015
Katika shamra shamra za sherehe za Krismasi, ungana nasi kupata filamu kali siku za 24 na 25 December 2015 hapa MMBongo!
Nimchaguenani

NIMCHAGUE NANI


24 DECEMBER 2015


19:30 EAT


34 nimchaguenani


Dada wawili wanaopendana sana wanpata wachumba. Kwa bahati mbaya, Dada mkubwa anaaga dunia na bintiye mdogo anaposwa kuwa Mke wa Mchumba wa dadake! Mpenzi wake anakufa moyo kw ajili kipusa chake amepotelea mbali lakini anakat sahuri kumtafuta kila awezapo. Anampata ameshaolewa na mume mwingine lakini anapigiania penzi lao.GOD'S KINGDOM


25 DECEMBER 2O15


17:00 EATGod's kingdom.jpg


Mhubiri Myamba anarudi nyumbani toka Ngambo na moto wa Neno. Anarithi uongozi wa Kanisa la babake, lakini, kunao ambao hajapendezwa na maendeleo haya! Wanapanga njama ya kumwangamiza yamba lakini wanajiangamiza wenyewe!


Tunawatakia mashabiki na watazamaji wetu kila la heri siku ya Krismasi na faraja isio kifani katika mwaka ujao! Ungana nasi tukiyatumaini mazuri katika 2016! 


Like our Facebook page an follow us on Twitter, on Instagram and on WeChat: MaishaMagicEast