Logo

Filamu za mwezi wa Aprili hapa MMBongo!

News
29 March 2016
Mwezi wa Aprili umewadia na MMBongo tumewaandalia filamu na vipindi kali kali!
ZIDBongo15Dec

ZID
13:30 EAT
4 APRILI 2016


34 zidbongo15dec

Ronnie ambaye ni mwandishi anahamia jiji jipya kutimiza zoezi fulani. Huko, anapatana na binti mrembo aiitwaye Maya ambaye ni jirani wake. Wanapendana sana, lakini muda ukipita, utu wake Ronnie unatokea! Usibanduke!


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.