Logo

Filamu za MMBongo Mwezi wa Desemba!

News
15 December 2015
Desemba HOYEE! Filamu za kuwatumbuiza kial siku mwezi huu wa karamu za Krismasi!
MyMumy2

MY MUMY
16 DECEMBER 2015
20:30 EAT


34 mymumy2


Kesho, tazama filamu yakusisimua ya My Mumy! Mkunga anastaajabu wajukuu wake wakikorofishana kwa sababu ya Mwanamme! Anawasimulia hadithi ya Kijana aliyepata kazi na kuondoka nymbani mwa wazazi wake. Mashaka, aliye rafiki wa Kacha anamsaidia kutafuta nyumba kijijini ilhali, Mashaka anamtamani mwanamke aliyempita kwa umri anaymsaidia kuepuka mashaka ya kimaisha na kifedha. Jambo la kustusha ni huyu mwanamke ni mamake mzazi wa Kacha, naye aliyempenda Kacha ni dada mdogo wa Mashaka! Kutaendaje? Usibanduke!KAROGE TENA
17 DECEMBER 2015
19:35 EAT


34 karogetena


Mzee anawasikia vijana wawili wakipanga njama kumroga binti fulani ili awape mapenzi. Anawapa mawaidha na kuwaeleza jinsi alivyopenda mkewe ambaye hakumpenda. Alijaribu juu chini kumshawishi lakini, lo! kisha, alimuua mpenzi wa mkewe na kutiwa mbaroni!ZID
18 DECEMBER 2015
19:35 EAT


34 zidbongo15dec


Ronnie ni mwandishi wa gazeti. Anahama kuenda katika Jiji jipya na kiwa huko, anamtamani jirani wake aiitwaye Maya. Lakini, huku penzi lao likpanda, ukweli wa masaibu ya Ronnie yanajiotkeza!SINDANO LA MOTO


30 DECEMBER 2015


20:30 EAT


34 sindanolamotobongo


Tajiri aliyepewa Heshima anampa mkewe talaka na kumwacha akiwa na mtoto mchanga. Huyu Tajiri anamfuata binti mrembo aliyedai kuwa Ofisa katika upande wa Usalama wa nchi katika Serikali. Kumbe, huyu binti anafanya kazi ya Umalaya na lengo lake nikumnyonya pesa zake, huku wengineo wakipanga njama ya Kumuua tajiri huyu!MORNING ALARM
31 DECEMBER 2015
20:30 EAT


34 morning alarm


Basila na Bonnie ni marafiki wanaofanya biashara ya kuuza magazeti wakitumia gari lao. Wanapatana na binti kipusa aliyeiitwa Rita. Kumbe, hawana habri ya kwamba Rita anafuatwa na polisi kwa ajili ya wizi wa pesa. Hawajua Rita atakuwa chanzo cha mashida yao!


Like our Facebook page an follow us on Twitter, on Instagram and on WeChat: MaishaMagicEast