Logo

Filamu za MMBongo! Mwali Wa Kijiji!

News
26 November 2015
Babake Falhia ni mkali sana na hataki wanaume wamtongoze bintiye.

Babake Falhia ni mkali sana na hataki wanaume wamtongoze bintiye. Bilal, kijana aliyempenda Falhia anekata shauri ya kumwoa. Atafaulu? Filamu za MMBongo zinawaletea uhondo wa kweli kuhusu masaibu ya maisha!

34 vlcsnap 2015 11 25 11h20m48s580