Logo

MMEast Movies this week!

News
23 March 2016
Watch these exciting local productions as we come into the Easter weekend! Only on Channel 158, MMEast!
Crazies23march

CRAZIES
25 MACHI 2016
23:00 EAT

34 crazies23march


Regina, mchumba wa zamani wake Micheal anazuia harusi ya Micheal na Michelle kuendelea. Micheal anajipata mashakani kwa ajili ya Usaliti wa Regina!


BACK STAB
26 MACHI 2016
21:00 EAT


 

34 backstab23march


Dadake mpelelezi wa polisi aiitwaye Alexi anauwawa. Mkubwa wake anatoa amri ya kwamba Alexi atolewe katika upelelezi wa hio kesi lakini Alexi anamatuamini ya kuwashika waliomuua wa Dada yake.

 

TASLITI
27 MACHI 2016
21:00 EAT


34 tasliti23march


Sauda ni mwanamke muovu anaye nia ya kuteketeza ndo ya Faiza na jafari. Anamtongoza Jafari kwa muda, lakini, Jafari anamkataa. Mwishowe, Sauda anamsaliti Jafari. Je, Jafari atanusurika? Ndoa yake itasimama?

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.