Logo

Filamu za MMBongo Movies Msimu wa SikuKuu!

News
23 December 2015
Maisha Magic Bongo imejitolea kuwaletea hisia za maadhimisho msmu huu wa Krismasi! Ungana nasi, tembea nasi mpaka mwaka wa 2016!
Nimchaguenani

Pata Filamu moto moto kutoka hapa hapa Tanzania, Productions kali za kikwetu!


NIMCHAGUE NANI
24 DESEMBA 2015
SAA 19:30 EAT.


34 nimchaguenani1


GODS KINGDOM
25 DESEMBA 2015
17:00 EAT


34 gods kingdom.jpg2


Maisha Magic Bongo imejitolea kuwaletea hisia za maadhimisho msmu huu wa Krismasi! Ungana nasi, tembea nasi mpaka turuke mipaka na kupokea mwaka wa 2016!Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.